• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Month: July 2023

  • Home
  • Jimbo la Adamawa nchini Nigeria lafungwa, Gavana atangaza raia wasitoke kwa masaa 24

Jimbo la Adamawa nchini Nigeria lafungwa, Gavana atangaza raia wasitoke kwa masaa 24

Gavana wa jimbo la kaskazini-mashariki la Adamawa nchini Nigeria ametangaza amri ya kutotoka nje kwa saa 24 kufuatia uporaji wa maduka ya vyakula na maghala katika mji mkuu wa jimbo…

Tanzia: DJ Steve B aliyewahi kufanya kazi Clouds Media afariki dunia

Aliyewahi kuwa DJ wa CloudsFM Steven Mdoe maarufu kama DJ Steve B amefariki dunia leo katika Hospitalini Dar es salaam huku chanzo kikitajwa kuwa ni kupanda kwa presha. Amstrong Mdoe…

‘Fanyeni tafiti zenye kuleta mabadiliko’ Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Prof. Caroline Nombo

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu ,Sayansi na Teknolojia Profesa Caroline Nombo ametoa wito kwa wanazuoni kuhakikisha wanatumia tafiti wanazofanya ili kupata ufumbuzi wa changamoto zilizopo katika jamii. Profesa Nombo ameyasema…

DC atoa angalizo kwa wafanyabiashara wanaoficha mafuta

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Jokate Mwegelo amewataka Wafanyabiashara wanaoficha mafuta Wilayani Korogwe wakisubiria mabadiliko ya bei ili wauze kwa bei kubwa kuacha mara moja kwakuwa wanahujumu uchumi…

Mkurugenzi Chande kuja na mbinu ili kuifumua na kuisuka upya Tanesco

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema safari ya mabadiliko ndani ya shirika hilo ilianza kwa kujipanga ikiwemo kwenda kila mkoa ili kujua changamoto za wananchi.…

Idadi ya watu wapatao 13 wahofiwa kufa maji baada ya mtumbwi kuzama

Watu kumi na watatu wanahofiwa kufa Maji Ziwa Victoria katika eneo la kijiji cha Mchigondo wilayani Bunda Mkoani Mara baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya ziwa Victoria wakati watu…

Maonesho ya nane nane yanatarajiwa kufunguliwa kesho jijini Mbeya

Maonyesho ya Kilimo – Nane Nane 2023 yanatarajiwa kufunguliwa kesho tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais…

Mtandao wa Twitter ambao kwa sasa unatambulika kama X wafuasi wake wangezeka

Kupitia ukurasa wake wa mtandao X mmiliki wa mtandao huo, Elon Musk ameweka wazi juu ya ongezeko la watumiaji wa mtandao wa X mpaka kufikia Milioni 540 kwa mwezi. Hii…

Uajiri wa Wagner Unaanza tena huko Limbo, Prigozhin

Mavazi ya mamluki ya Wagner ya Urusi bado haijaamua ni lini wataanza tena kuwasajili wapiganaji wapya, mwanzilishi wa kundi hilo Yevgeny Prigozhin alisema Jumatatu. Mwanzoni mwa Julai, Wagner alitangaza kusimamishwa…

Simba wapatikane wakiwa hai au wamekufa

Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Kissa Kasongwa ameagiza Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Kanda ya Iringa pamoja na Taasisi nyingine zinazohusika na wanyamapori wanaowatafuta Simba waliovamia katika Mji…