• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Viongozi wa ndani na mataifa ya nje ya Tanzania wakutana Ukumbi wa JNICC DSM

Bynijuzetz

Jul 26, 2023

Julai, 26, 2023 Viongozi mbalimbali kutoka ndani na Nje ya Tanzania walikutana kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

.
.
.
.
.
.
.
.

Leave a Reply