• Fri. Feb 23rd, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Ofisa wa TRA ajirusha ghorofani jijini Tanga

Bynijuzetz

Jul 28, 2023

Mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Arusha, Richard Walalaze (35) amekutwa amefariki baada ya kujirusha kutoka ghorofani jijini Tanga.

 Akithibitisha tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Henry Mwaibambe amesema kuwa mfanyakazi huyo amejirusha kutoka ghorofa ya pili ya Hoteli ya Ocean Breez jijini Tanga alikokuwa amepanga chumba tangu Julai 16 mwaka huu.

Richard alikuwa miongoni mwa watumishi wa TRA waliokuwa jijini Tanga kwa kazi maalumu ya kuandaa taarifa ya Mamlaka hiyo ya mwaka.

Habari zaidi juu ya tukio hili zitakujia

Leave a Reply