• Mon. Feb 26th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Month: August 2023

  • Home
  • Miaka 80 Jela kwa kosa la kukutwa na nyara za Serikali.

Miaka 80 Jela kwa kosa la kukutwa na nyara za Serikali.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imemuhukumu Cyprian Kasuva kifungo cha miaka 80 jela kwa kosa la kukutwa na makosa matatu, kosa la kwanza kukutwa na nyara za Serikali…

Asakwa na Polisi kwa kumshambulia mteja aliyeshindwa kumlipa Sh. 500

Mfanyabiashara Halid Njianguru, mkazi wa Kidatu wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro anasakwa na polisi kwa tuhuma za kumshambulia mteja wake na kusababishia madhara makubwa baada ya kushindwa kulipa kiingilio cha…

Jeshi la Gabon Waamua kufanya mapinduzi ya Rais

Jeshi la Gabon limempindua Rais wa Nchi hiyo Ali Bongo siku kadhaa baada ya Uchaguzi uliomrejesha madarakani, Wanajeshi hao wameongea kupitia Televishion ya Taifa wakisema wameamua kuwalinda Wananchi kwa kuumaliza…

Uteuzi wa Dotto Biteko ni Pasua kichwa kwa wadau wa siasa nchini.

Uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Suluhu Samia kuanzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua mbunge wa jimbo la Bukombe Mhe. Dkt.Dotto Biteko kushika nafasi…

Amwagiwa majimoto na mke mwenza kisa wivu wa mapenzi

“Nilipata hasira nilivyokuwa naonyeshwa na watu kuwa huyo ndiye mke mwenzangu, ndiyo nikachukua uamuzi wa kumwagia maji ya moto.” Huyo ni Vumilia Kasomelo (32) mke mkubwa wa Ndagabwene Evalist (33),…

Aliyefungwa kwa kughushi nyaraka za umiliki wa ghorofa kisha akapewa dhamana kusubiri rufaa arudishwa jela kumalizia kifungo

Mtalaka aliyefungwa jela kwa kughushi umiliki wa ghorofa la wanandoa kisha akapewa dhamana kusubiri rufaa aliyokata, amerejeshwa gerezani kumalizia kifungo. Tuwaha Samson Muze, ambaye alikuwa mtunza fedha wa kampuni ya…

Tulikwenda Dubai kujifunza utendaji juu ya bandari ila sikujua lolote kama kuna mkataba ulisainiwa

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Sumbawanga mjini kimefanya mkutano wa hadhara katika Kata ya Katandala na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali ambao wameonekana kukosoa mkataba wa bandari kwa…

Busu lamponza Rais wa soka nchini Hispania, apigwa benchi kujihusisha na soka

Shirikisho la Soka la Uhispania (Rfef) linatazamiwa kufanya mkutano wa ‘muhimu wa dharura’ leo baada ya rais Luis Rubiales kusimamishwa na FIFA kwa kumpiga busu Mshindi wa Kombe la Dunia…

Hivi Punde: Rais Samia afanya uteuzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi mpya Idara ya Usalama kwa kumteua Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa na Balozi Ali…

Serikali yatangaza kuendelea na mchakato wa uwekezaji bandarini kwa kushirikiana na DP World

Kila hatua na kadri majadiliano yatakavyokuwa yanaendelea ikiwemo kuafikiana au kukubaliana pande zote kati ya Serikali ya Tanzania na mwekezaji kwenye uendelezaji wa bandari ya Dar es Salaam , umma…