• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Sadio Mane alamba kitita kizito Al Nassr ya Saudi Arabia

Bynijuzetz

Aug 1, 2023

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Senegal Sadio Mane (31) amejiunga na Club ya Al Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea FC Bayern Munich ya Ujerumani.

Mane anayeenda kucheza timu moja na Cristiano Ronaldo atakuwa akilipwa mshahara wa pound 650,000/= (Tsh Bilioni 2 kwa wiki).

Toka Ronaldo aende Saudi Arabia Wachezaji wengi wamekimbilia huko akiwemo Roberto Firmino, Riyad Mahrez, Neves, Ng’olo Kante, Mendy, Koulibaly, Karim Benzema na sasa Sadio Mane.

Leave a Reply