• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Utabiri wa Hali ya Hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 Usiku wa leo

Bynijuzetz

Aug 1, 2023

Utabiri wa Hali ya Hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 Usiku wa leo Agosti 1, 2023, TMA wametoa tahadhari ya uwepo wa upepo mkali na mawimbi makubwa katika baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Pwani wa Bahari ya Hindi na baadhi ya maeneo nchini

Leave a Reply