• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Klabu ya soka ya Simba imetangaza kuisha kwa tiketi

Bynijuzetz

Aug 4, 2023

Club ya soka ya Simba imetangaza kumalizika kwa tiketi za mzunguko za Simba Day siku ya Jumamosi Jijini Dar es salaam ambako itacheza na Power Dynamo ya Zambia.

“Historia imeandikwa, kwa mara ya kwanza tiketi za mzunguko zimemalizika siku 3 kabla ya tukio…. kawaida Mzunguko humalizika siku ya tukio lakini safari hii mzunguko zimeisha mapema tena zimeisha kabla ya madaraja mengine wakati mara zote mzunguko ndo huwa za mwisho, asanteni sana wana Simba tukutane Simba Day”

Ameandika Ahmed Ally

Leave a Reply