• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Simba Day Rais Samia atangazwa mgeni rasmi

Bynijuzetz

Aug 4, 2023

Karibu kwenye kilele cha Wiki ya Simba. Karibu kwenye Simba Day, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Hii ni siku muhimu kwa Klabu ya Simba na wapenda michezo wote nchini Tanzania. Tunakushukuru na tanakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kifani. Kwa kipekee kabisa, tunakushukuru sana kwa mchango wako mkubwa kwenye sekta ya Michezo na Maendeleo ya Taifa kwa ujumla. Karibu sana Mheshimiwa Rais

Leave a Reply