• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Dk. Mpango afungua Jengo la Makazi la Kibiashara la Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)

Bynijuzetz

Aug 5, 2023

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Makazi la Kibiashara la Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) lililopo katika eneo la Sekei Jijini Arusha tarehe 04 Agosti 2023.

Wengine katika picha ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof Makame Mbarawa, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula, Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela, Mtendaji Mkuu wa TBA Arch.

Daud Kondoro pamoja na wawakilishi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma.

Leave a Reply