• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Simba yaanza majadiliano na Wajumbe wa Bodi ya Afican Football League (Super Cup)

Bynijuzetz

Aug 8, 2023

Viongozi wa Simba Sports Club leo wamekutana na Wajumbe kutoka African Football League (Super Cup) kwa ajili ya majadiliano ya maandalizi ya sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo ambayo Tanzania inayowakilishwa na Simba itakuwa mwenyeji. Sherehe za Ufunguzi zitafanyika mwezi Oktoba.

Hii inakuja baada ya tamasha kubwa la maadhimisho ya “Simba Day” ambayo hufanyika kila mwaka ikihusisha kutangaza wachezaji wapya pamoja mchezo wa kirafiki ili kuona viwango vya wachezaji wapya na namna wanavyoweza kukabiliana na changamoto mpya za kimichezo

Leave a Reply