• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Mbunge wa viti maalumu atoa wito kwa serikali kuweka mifumo thabiti ya uwiano kijinsia

Bynijuzetz

Aug 9, 2023

MWakati tasisi zikikmbiza kudai usawa wa wa kijinsia baina ya wanawake na wanaume katika ngazi na nyanja tofauti tofauti, Mbunge wa Viti Maalum Neema Lugangira amesema takwimu za uwiano kati ya Wanaume na Wanawake katika uongozi kwa ngazi ya Mitaa na Kata kwa ngazi ya Vitongoji kuna Viongozi Wanawake 4117 kati ya Viongozi 58441 sawa na asilimia 6.7 huku kwa ngazi ya Mitaa Wanawake viongozi ni 528 kati ya 4117 sawa na asilimia 12.6.

Ameiomba serikali Serikali kuweka mifumo na mikakati ambayo itasaidia kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya Wanawake hasa katika nyanja ya siasa nchini.

Hii ni mara kadhaa watetezi wa usawa wa kijinsia wamekuwa wakilipigania swala hilo kwani wanawake wengi wameonekana kunyimwa nafasi huku wakikosa nafasi yakuonesha uwezo wao katika kushika na kuongoza usukani katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo katika jamii.

Leave a Reply