• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Hivi Punde: Rais Samia afanya uteuzi

Bynijuzetz

Aug 28, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi mpya Idara ya Usalama kwa kumteua Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa na Balozi Ali Idi Siwa siku ya leo tarehe 28/08/2023 huku zoezi hilo likiambatana na kiapo.

Leave a Reply