• Mon. Feb 26th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Month: August 2023

  • Home
  • Mchakato wa Mo Salah kutimkia Saud Arabia wadaiwa kukamilika

Mchakato wa Mo Salah kutimkia Saud Arabia wadaiwa kukamilika

Taarifa zinasema kuwa nyota wa Liverpool Mohamed Salah ataondoka klabuni hapo baada ya kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Newcastle. Mo Salah amekuwa akihusishwa na kutaka kuondoka Liverpool wiki…

Kilo 276 za madawa ya kulevya zamatwa Iringa

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, imefanya operesheni maalum katika Mkoa wa Iringa na kufanikiwa kukamata jumla…

Benki ya Taifa ya Biashara imeungana na Ris wa Zanzibar kushiriki mbio fupi za hiyari

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na wadau wengine kushiriki kwenye mbio fupi zilizoambatana na matembezi ya hiyari (Wogging) zilizoandaliwa…

Kifo cha Yevgeny Prigozhin kimethibishwa kwa uchambuzi rasmi wa vinasaba

Kifo cha Yevgeny Prigozhin, mkuu wa kundi la wanamgambo wa Wagner, kufuatia ajali ya ndege siku ya Jumatano kimethibitishwa na uchambuzi rasmi wa vinasaba, Kamati ya Uchunguzi ya Urusi ilisema…

Ngoma anaona nini ndani ya kikosi cha Simba?

Kiungo wa Simba, Fabrice Ngoma amesema kwa uzoefu wake na soka la Afrika, Simba ina kikosi kizuri ambacho kinaweza kubeba ubingwa wa ligi na hata Ligi ya Mabingwa Afrika. Ngoma…

Aziz KI ni kiboko kabisa msimu huu, hashikiki

Kiwango anachokionyesha kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephen Aziz KI kinatajwa kusababishwa na aina ya uchezaji wa sasa wa timu pamoja na uhuru anaopewa uwanjani na kocha Angel Miguel Gamond. Msimu…

Ajali ya Ndege ya Prigozhin: Tunafahamu nini ndani yake?

Ndege iliyombeba kiongozi wa Wagner Group Yevgeny Prigozhin ilianguka kaskazini-magharibi mwa Moscow siku ya Jumatano, miezi miwili kamili baada ya yeye na mavazi yake ya mamluki kufanya mapinduzi yaliyofeli dhidi…

Nini Mustakabali wa Wagner baada ya hiki kinachoendelea kuhusiana na kifo cha Pligozhin

Yevgeny Prigozhin alitumia karibu muongo mmoja kuunda kundi la wanamgambo wa Wagner. Kilikuwa kitovu cha juhudi za vita vya Urusi nchini Ukraine na wanajeshi wa Prigozhin walisaidia kueneza ushawishi wa…

Jaji aamua mirabaha ya R.Kelly wapewe waathirika wa Unyanyasaji.

Jaji wa Mahakama moja ya Brooklyn, New York nchini Marekani ameamua kwamba mirabaha iliyotakiwa kulipwa kwa Mwimbaji R. Kelly inayofikia $500,000 (Tsh Bil 1.25) inayoshikiliwa na Universal Music Group NV…

Jeshi la Niger limewataka mabalozi wa Magharibi pamoja na Marekani kuondoka nchini humo haraka

Jeshi la Niger ambalo linaongoza Nchi hiyo baada ya kumpindua Rais limetoa saa 48 kwa Balozi wa Marekani nchini humo na Mabalozi wa Nchi nyingine nne za Ufaransa, Ujerumani ,…