• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Month: August 2023

  • Home
  • Mashambulizi ya Drone dhidi ya Urusi Yanalenga Doria za Bahari Nyeusi za Moscow na Urusi

Mashambulizi ya Drone dhidi ya Urusi Yanalenga Doria za Bahari Nyeusi za Moscow na Urusi

Urusi imesema leo Jumanne kuwa imeangusha wimbi jingine la ndege zisizo na rubani za Ukraine zilizolenga meli katika Bahari Nyeusi na Moscow, huku jengo la ofisi katika eneo kuu la…

Muhimbili: Waliowekewa puto kupunguza uzito idadi yafikia 128

Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum (intragastic balloon) , ambapo huduma hiyo pamoja na…

Burkina Faso na Mali zaungana kuitetea Niger dhidi ya Viongozi wa ECOWAS

Burkina Faso na Mali kwa pamoja zimewaonya Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS) kwamba wakithubutu kuvamia Nchi ya Niger ili kuwakabili Wanajeshi waliompindua Rais wa…

Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu…

Urusi yaelezea Shambulizi la Drone la Ukraine lililofutiliwa mbali kwenye Boti za Doria za Bahari Nyeusi

Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema Jumanne kwamba ndege tatu zisizo na rubani za baharini za Ukraine zililenga boti mbili za doria za Black Sea Fleet katika shambulio la pili…

Je, uko macho na teknolojia? Twende sokoni ukajionee Samsung wanachokupa

Samsung wamefanya tukio lao la kutambulisha Simu za Samsung Galaxy Z Fold, Z Flip 5, matoleo ya tableti ya Tab S9 na saa za Watch 6. Tukio hilo la kila…