• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Month: September 2023

  • Home
  • Tupac Shakur: Polisi wa Las Vegas wanamshtaki mwanamume mmoja kwa kumpiga risasi rapa ‘Tupac’ mwaka 1996

Tupac Shakur: Polisi wa Las Vegas wanamshtaki mwanamume mmoja kwa kumpiga risasi rapa ‘Tupac’ mwaka 1996

Nyota huyo wa muziki wa hip hop aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa na umri wa miaka 25 mwaka 1996 huku abiria aliyekuwa kwenye gari nyeusi aina ya BMW akisimama kwenye…

Napoli walisema “hawakuwa na nia ya kumuudhi au kumkejeli” Victor Osimhen

Napoli walisema “hawakuwa na nia ya kumuudhi au kumkejeli” Victor Osimhen katika chapisho la mtandao wa kijamii lakini hawakumuomba msamaha hadharani. Klabu hiyo ilishirikisha umma video kwenye akaunti yao ya…

Mlipuko wauwa watu zaidi ya 50 nchini Pakistan wakiwa kwenye sherehe za Maulid

Takriban watu 50 wameuawa na zaidi ya 50 kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea Pakistan, polisi wameiambia BBC. Mlipuko huo ulitokea karibu na msikiti mmoja katika mkoa wa kusini magharibi wa Balochistan…

Wana Jihad wahusika katika mauaji ya wanajeshi nchini Niger

Mamia ya wanamgambo wa Kiislamu waliokuwa wakiendesha pikipiki wameshambulia mji wa kusini-magharibi mwa Niger na kuua wanajeshi 12, wizara ya ulinzi imesema. Wanajeshi saba wameuawa katika mapigano, na wengine watano…

Mke wa aliekuwa Rais wa Gabon, ashitakiwa kwa makosa ya utakatishaji fedha

Sylvia Bongo, mke wa Rais aliyeondolewa madarakani wa Gabon, Ali Bongo, ameshtakiwa kwa utakatishaji fedha, kupokea mali ya wizi, kughushi. Mwendesha mashtaka wa umma Andre Patrick Roponat alitangaza Ijumaa kuwa…

Putin Asema Wafungwa Waliouawa Ukraine Walilipa Madeni kwa Jamii

Rais Vladimir Putin siku ya Ijumaa alisema kuwa wafungwa wa Urusi waliofariki nchini Ukraine wamejikomboa mbele ya jamii. Ili kuimarisha mapigano ya mara kwa mara nchini Ukraine, jeshi na kundi…

Rais wa Kazakhstan asema Hawataisaidia Urusi Kuondoa Vikwazo

Kiongozi wa Kazakhstan alisema Alhamisi kuwa nchi yake haitaisaidia Urusi kukwepa vikwazo vya Magharibi vilivyowekwa kutokana na vita vya Ukraine, huku kukiwa na tuhuma kwamba Moscow bado inapokea bidhaa muhimu…

FIFA yashinikizwa kumuweka kitimoto Eto’o Rais wa Shirikisho la Soka nchini Cameroon.

Nafasi ya Samuel Eto’ kama Rais wa Shirikisho la Soka Cameroon (FECAFOOT) ipo matatani baada ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kushinikizwa na kundi la maafisa wa soka nchini humo…

Korea Kusini imetangaza kumfukuza mwanajeshi wa Marekani aliyevuka mpaka kuingia nchini humo

Korea Kaskazini itamfukuza mwanajeshi wa Marekani aliyevuka mpaka na kuingia nchini humo kupitia mpaka wa Korea wenye silaha nyingi mapema mwaka huu. Shirika rasmi la habari la Korea Kaskazini lilisema…

CAF yatangazA nchi za Afrika mashariki kuandaa michuano ya AFCON

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi kuwa Tanzania, Kenya na Uganda zimepata nafasi ya kuandaa michuano ya AFCON 2027 kama ambavyo walikuwa wameomba. Taarifa hiyo imetolewa leo Jijini Cairo…