• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Singida Fountain Gate washusha staika usiku mnene “Wasifia ni mtambo wa kufua magoli”

Bynijuzetz

Sep 15, 2023

Klabu ya Singida Fountain Gate siku moja nyuma wameshusha Straika wa magoli usiku wa leo.

Mtambo huo wa Mabao ni MVP kutoka Ligi anayotoka ambapo anakuja kusaidiana na mastaa wengine akiwemo Onyango aliyetoka Simba, Ulimwengu wa TP Mazembe.

Akiwa ‘Top Scorer’ kwa Misimu miwili Mfululizo iliyopita anatarajiwa kuleta mabadiliko chanya kwa Singida ambayo inania ya kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu kutoka mikononi mwa Yanga lakini pia kuisadia kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho.

Straika huyo mpya alitua Airport ya Kimataifa ya Mwalimu Julius Nyerere majira ya saa 5 usiku wa juzi.

Leave a Reply