• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Brand ya mavazi ya SleekSingh sasa wamekuletea mzigo sokoni “Weka Order yako”

Bynijuzetz

Sep 28, 2023

Mara kwa mara tumekuwa tukikujuza juu ya ujio wa brand mpya ya mavazi ya SleekSingh ambayo ni kampuni ya mavazi kutoka kwa mfanyabiashara mzalendo mwenye lengo kubwa la kufanya mabadiliko kwenye tasnia ya mavazi nchini Tanzania.

Ubunifu ni kikubwa sana kwenye kuchangia ukuaji wa Uchumi hasa kwenye uzalishaji wa bidhaa mpya.

Nijuzetz Digital imerejea tena kuzungumza na wataalamu wa Ubunifu pamoja na masoko kutoka SleekSingh.

Hii imekuja baada ya uingizwa sokoni wa mzigoambao umekuwa ukisubiriwa kwa hamu na kwa muda mrefu. Kufuatia hilo leo pia tumepata kujua aina tofauti tofauti za mavazi ambazo wamiliki wa brand hiyo hawajapenda ziwekwe wazi tofauti na kile ambacho wameomba kuandaa Onesho maalumu mara tu baada ya mauzo ya nguo za ndani kumalizika.

“Kwa sasa tumeamua kwanza kwa kuweka sokoni nguo za ndani mpaka mzigo utakapomalizika lakini pia wakati tunajianda kufanya vitu vikubwa zaidi kwa sababu tumeona mapokezi ni mazuri huku wateja wetu wengi wakifurahia ubora wa nguo zetu kuwa zaidi ya viwango tofauti na vile walivyokuwa wakifikiria”

Tunasikia faraja sana tukiona vitu vyetu vinapendwa hasa bila kujali gharama bali ubora wa material tofauti na vile ambavyo tulidhani labda ugeni wa brand ungeleta shida kwa wateja wetu. Alisema mmiliki wa brand hiyo.

Tunawakaribisha watu wote waje kuweka order mapema SleekSingh iko sokoni sasa,ila tunapenda kuwakumbusha kuwa “SleekSingh Underwear” zipo za kike na za kiume na ni kwa rangi tofauti tofauti kwahiyo hakuna ubaguzi wa jinsia.

Wanaweza kuwasiliana nasi kwa kupiga simu namba +255756626684 au +255713298959

Leave a Reply