• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

CAF yatangazA nchi za Afrika mashariki kuandaa michuano ya AFCON

Bynijuzetz

Sep 29, 2023

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi kuwa Tanzania, Kenya na Uganda zimepata nafasi ya kuandaa michuano ya AFCON 2027 kama ambavyo walikuwa wameomba.

Taarifa hiyo imetolewa leo Jijini Cairo Misri ambapo ulikuwa unafanyika Mkutano wa Kamati tendaji ya CAF ya kuamua ni Mataifa yapi yatapata uenyeji kwa mwaka 2025 na 2027.

Morocco wao wametangazwa kuwa ndio Wenyeji rasmi wa michuano ya AFCON kwa mwaka 2025.

Leave a Reply