• Mon. Feb 26th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Month: October 2023

  • Home
  • Putin aita Makombora ya ATACMS ya Marekani kwa Ukraine kuwa ni ‘Kosa’

Putin aita Makombora ya ATACMS ya Marekani kwa Ukraine kuwa ni ‘Kosa’

Rais Vladimir Putin siku ya Jumatano alishutumu usambazaji wa Washington wa makombora ya masafa marefu ya ATACMS kwa Ukraine kama “kosa” ambalo halingebadilisha kimsingi hali kwenye uwanja wa vita. Rais…

Tembo aliyepotea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo auawa

Tembo aliyetoroka kutoka mbuga ya wanyama ya Virunga mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameliwa na wakazi wa kijiji jirani. “Ni kama bahati ilianguka kutoka mbinguni kwa ajili yetu,”…

Mafuriko nchini Cameroon yazidisha athari, idadi ya waliofariki yafikia 27 waliojeruhiwa idadi yakaribia 50

Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko katika mji mkuu wa Cameroon, imefikia 27 huku zaidi ya 50 wakijeruhiwa, Jumatatu, huku waokoaji wakizidi kuwatafuta waliotoweka kufuatia mafuriko siku iliyotangulia. Mvua iliyonyesha…

Ireland na Uingereza kuandaa sasa kifua mbele kuandaa michuano ya Euro 2028

UEFA wamethibitisha kuwa michuano ya Euro 2028 itafanyika nchini Uingereza, Scotland, Wales, Ireland Kaskazini na Ireland baada ya ombi lao la kupata haki ya kuandaa michuano hiyo bila kupingwa. Uturuki…

Israel yazidi kujihami, Waziri wa Nishati atoa agizo kukata umeme ukanda wa Gaza pia kuzuia huduma ya mafuta na Chakula

Israel inaendelea na mapambano ili kulinda eneo lake Zaidi ya siku mbili baada ya shambulio hilo ambalo halijawahi kushuhudiwa, Israel ilisema mpaka wake na Gazabado haujawa salama kabisa Lakini ilisema…