• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Month: November 2023

  • Home
  • Hukumu ya miaka 22 kwa aliyekamatwa na vipande 12 vya nyama ya swala Ikemewe.

Hukumu ya miaka 22 kwa aliyekamatwa na vipande 12 vya nyama ya swala Ikemewe.

Mambo ya kufikiria kwenye hii hukumu;1. Hivi ni kweli waongozaji wa hii kesi walikosa utu kiasi cha kutokutambua thamani ya mwanamke huyu mpambanaji ambaye hata kwa kumtazama tu unagundua hali…

Watanzania wanaoshikiliwa mateka na kundi la Hamas wafanyiwa jitihada za kukombolewa kiusalama

Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen ameahidi dhamira yake binafsi ya kuimarisha juhudi za serikali ya Israel kuwatafuta wanafunzi wa Kitanzania Clemence Mtenga na Joshua Mollel ambao…

Almas ya kihistoria na kubwa yauzwa kwa bei ghali zaidi huko Geneva

Almasi ya bluu adimu sana iliuzwa kwa zaidi ya $40m (£32m) katika mnada wa Christie huko Geneva, mashirika ya habari yalisema. Almasi ya Bleu Royal yenye umbo la karati 17.61,…

Benki ya NMB yatangaza mafanikio ya kifedha kwa kipindi cha mwezi Septemba

Benki ya NMB imetangaza kupata matokeo imara ya kifedha katika kipindi kilichoishia September 30 mwaka 2023, ambapo faida kabla ya kodi ya Benki imefikia Tsh. bilioni 569 ikiwa ni ongezeko…