• Fri. Feb 23rd, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Cheche zazidi, Saudi Pro League ni bora kuliko ya Ufaransa- Cristiano Ronaldo

Bynijuzetz

Jan 23, 2024

Cristiano Ronaldo amesema kuwa Ligi Kuu ya Saudia ni bora zaidi kuliko ile ya Ufaransa kwa sasa huku akitoa sababu mbalimbali zilizopelekea kufika hapo.

Mchezaji huyo anayeongoza kwa kufuatiliwa zaidi kuliko mwingjne, Ronaldo ameongeza kuwa huwenda ikachukua muda mrefu Ligi hiyo kuwa kwenye Tatu Bora duniani lakini ipo kwenye muelekeo mzuri.

“Saudi Pro League tupo vizuri zaidi hata ya Ligi Kuu ya Ufaransa.”- Cristiano Ronaldo akisema hayo pasina shaka yoyote.

“Wanaweza kusema chochote wanachotaka kusema lakini huu ni mtazamo wangu, nimecheza hapa mwaka mmoja najua kile ninachokisema.”

Leave a Reply