• Sun. Feb 25th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

nijuzetz

  • Home
  • Serikali yaanza kulifanyia kazi swala la mlima Kitonga, Upanuzi wa barabara waanza kupunguza ajali.

Serikali yaanza kulifanyia kazi swala la mlima Kitonga, Upanuzi wa barabara waanza kupunguza ajali.

Hatimaye kilio cha muda mrefu cha Watumiaji wa barabara kuu ya TANZAM kutokea Ruaha Mbuyuni hususani eneo la mlima Kitonga kimeanza kufanyiwa kazi kwa kupanua barabara hiyo kuifanya ya njia…

Kesi ya mwanamke aliyehukumiwa miaka 22 kisa nyama ya swala rufaa yaanza kusikilizwa Iringa

Mahakama Kuu ya Mkoa wa Iringa chini ya Jaji Mfawidhi Elvin Mgetta imesikiliza kesi ya rufaa namba 84101/2023 dhidi ya Jamhuri ya Mkazi wa Mtaa wa Isakalilo Manispaa ya Iringa…

“Ningekuwa Rais”, Hatua kali kwa Jerry Silaa zingechukuliwa.

Septemba 04, mwaka jana, Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, aliwasili ofisi ya Wizara ya Ardhi jijini Dodoma na kukutana na watumishi wa wizara hiyo na…

Niger, Mali na BUrkina Faso kung’atuka ECOWAS mara moja

Serikali za kijeshi za Niger, Mali na Burkina Faso zimetangaza kujiondoa mara moja kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS). Viongozi wa mataifa hayo matatu (3) ya…

Cheche zazidi, Saudi Pro League ni bora kuliko ya Ufaransa- Cristiano Ronaldo

Cristiano Ronaldo amesema kuwa Ligi Kuu ya Saudia ni bora zaidi kuliko ile ya Ufaransa kwa sasa huku akitoa sababu mbalimbali zilizopelekea kufika hapo. Mchezaji huyo anayeongoza kwa kufuatiliwa zaidi…

Naibu Waziri wa Uchukuzi apeleka neema ya vifaa vya Hospitali Mufindi

Mbunge wa Mufindi Kusini ambeye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amekabidhi kontena lenye shehene yenye vifaa mbalimbali vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi vyenye thamani ya Tsh.…

Hukumu ya miaka 22 kwa aliyekamatwa na vipande 12 vya nyama ya swala Ikemewe.

Mambo ya kufikiria kwenye hii hukumu;1. Hivi ni kweli waongozaji wa hii kesi walikosa utu kiasi cha kutokutambua thamani ya mwanamke huyu mpambanaji ambaye hata kwa kumtazama tu unagundua hali…

Watanzania wanaoshikiliwa mateka na kundi la Hamas wafanyiwa jitihada za kukombolewa kiusalama

Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen ameahidi dhamira yake binafsi ya kuimarisha juhudi za serikali ya Israel kuwatafuta wanafunzi wa Kitanzania Clemence Mtenga na Joshua Mollel ambao…

Almas ya kihistoria na kubwa yauzwa kwa bei ghali zaidi huko Geneva

Almasi ya bluu adimu sana iliuzwa kwa zaidi ya $40m (£32m) katika mnada wa Christie huko Geneva, mashirika ya habari yalisema. Almasi ya Bleu Royal yenye umbo la karati 17.61,…

Benki ya NMB yatangaza mafanikio ya kifedha kwa kipindi cha mwezi Septemba

Benki ya NMB imetangaza kupata matokeo imara ya kifedha katika kipindi kilichoishia September 30 mwaka 2023, ambapo faida kabla ya kodi ya Benki imefikia Tsh. bilioni 569 ikiwa ni ongezeko…