• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

BURUDANI

  • Home
  • Tupac Shakur: Polisi wa Las Vegas wanamshtaki mwanamume mmoja kwa kumpiga risasi rapa ‘Tupac’ mwaka 1996

Tupac Shakur: Polisi wa Las Vegas wanamshtaki mwanamume mmoja kwa kumpiga risasi rapa ‘Tupac’ mwaka 1996

Nyota huyo wa muziki wa hip hop aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa na umri wa miaka 25 mwaka 1996 huku abiria aliyekuwa kwenye gari nyeusi aina ya BMW akisimama kwenye…

Shakira atuhumia kwa Uhalifu wa kukwepa kodi nchini Uhispania

Shakira alishinda tuzo ya mafanikio ya maisha katika Tuzo za Muziki za Video za MTV mapema mwezi huu. Mwanamuziki wa pop wa Colombia, Shakira amefunguliwa mashtaka ya kukwepa kulipa kodi…

Mocco Genius awashukurumashabiki kwa mapokezi mazuri ya Remix ya wimbo wa “Yamenishika” aliomshirikisha Nandy

Producer na msanii wa muziki wa Bongo fleva @moccogenius ameshukuru kwa mapokezi ya REMIX ya wimbo wake wa “Yamenishika” aliomshirikisha Staa The African Princess @officialnandy baada ya kupata wafuasi zaidi…

Ofisi ya Rais nchini Nigeria yampongeza Rema kwa kuliheshimisha Taifa hilo

Urais umempongeza mwanamuziki maarufu wa Afrobeats, Rema kwa ushindi wake katika tuzo za MTV Video Music Awards, VMAs. Tuliripoti kuwa Rema Jumanne alishinda kitengo cha ‘Best Afrobeats’ katika hafla ya…

Baraza la Sanaa Tanzania lasaini mikataba ya ushirikiano katika sanaa na nchi ya Ufaransa

Dar es Salaam, 14 Septemba 2023: Nchi ya Tanzania na Ufaransa zimeingia makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya sanaa na utamaduni kupitia mradi wa Basata Vibes unaotarajiwa kukuza hadhi ya…

Mwakinyo, “Mtoto wa Morogoro azidi kumuomba dua Mungu atasikia kilio chake”.

Bondia maarufu nchini na mwenye mkwanja, Hassan Mwakinyo amemtaka ‘Mtoto’ wa Morogoro aendelee kumuomba pambano kwani kuna siku dua zake zitajibiwa. Akiongea kwa mbwembwe Bondia huyo mweye rekodi Bora kabisa…

Burnaboy kwenye chati za Hot100 Billboard nchini marekani bila Kolab

Mwimbaji wa Nigeria aliyeshinda tuzo ya Grammy, Damini Ogulu, almaarufu Burna Boy, ameweka rekodi mpya akiwa Mwafrika wa kwanza kutoa nyimbo mbili kwenye chati ya Billboard Hot 100 ya Marekani…

Ayra Starr asikitishwa na tuzo yake ya “Headies” kama msanii bora wa kike

Mwimbaji mahiri wa Nigeria Sarah Aderibigbe, almaarufu Ayra Starr, ametangaza kwamba hapendi kutajwa kuwa Msanii Bora wa Kike wa Mwaka na waandaaji wa Tuzo za Headies. Kulinga na Daily post…

Selena Gomez adhihirisha upendo wake wa dhati kwa Rema

Mwimbaji na mwigizaji wa Marekani, Selena Gomez amefunguka kuwa amekuwa shabiki wa staa wa muziki wa afrobeats wa Nigeria, Rema hata kabla hawajafanya kolabo kwenye remix ya ‘Calm Down’. Alisema…

Msanii toka Nigeria Tekno amewabariki mashabiki zake kwa albam mpya ‘The More the Better’

Mwimbaji mashuhuri wa Nigeria, mtunzi wa nyimbo, na mtayarishaji wa rekodi extraordinaire, Tekno, amezindua toleo lake la muziki linaloitwa, The More The Better album. Ikijumuisha jumla ya nyimbo kumi na…