• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Entertainment Extra

  • Home
  • Tupac Shakur: Polisi wa Las Vegas wanamshtaki mwanamume mmoja kwa kumpiga risasi rapa ‘Tupac’ mwaka 1996

Tupac Shakur: Polisi wa Las Vegas wanamshtaki mwanamume mmoja kwa kumpiga risasi rapa ‘Tupac’ mwaka 1996

Nyota huyo wa muziki wa hip hop aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa na umri wa miaka 25 mwaka 1996 huku abiria aliyekuwa kwenye gari nyeusi aina ya BMW akisimama kwenye…

Shakira atuhumia kwa Uhalifu wa kukwepa kodi nchini Uhispania

Shakira alishinda tuzo ya mafanikio ya maisha katika Tuzo za Muziki za Video za MTV mapema mwezi huu. Mwanamuziki wa pop wa Colombia, Shakira amefunguliwa mashtaka ya kukwepa kulipa kodi…

Ofisi ya Rais nchini Nigeria yampongeza Rema kwa kuliheshimisha Taifa hilo

Urais umempongeza mwanamuziki maarufu wa Afrobeats, Rema kwa ushindi wake katika tuzo za MTV Video Music Awards, VMAs. Tuliripoti kuwa Rema Jumanne alishinda kitengo cha ‘Best Afrobeats’ katika hafla ya…

Burnaboy kwenye chati za Hot100 Billboard nchini marekani bila Kolab

Mwimbaji wa Nigeria aliyeshinda tuzo ya Grammy, Damini Ogulu, almaarufu Burna Boy, ameweka rekodi mpya akiwa Mwafrika wa kwanza kutoa nyimbo mbili kwenye chati ya Billboard Hot 100 ya Marekani…

Ayra Starr asikitishwa na tuzo yake ya “Headies” kama msanii bora wa kike

Mwimbaji mahiri wa Nigeria Sarah Aderibigbe, almaarufu Ayra Starr, ametangaza kwamba hapendi kutajwa kuwa Msanii Bora wa Kike wa Mwaka na waandaaji wa Tuzo za Headies. Kulinga na Daily post…

Selena Gomez adhihirisha upendo wake wa dhati kwa Rema

Mwimbaji na mwigizaji wa Marekani, Selena Gomez amefunguka kuwa amekuwa shabiki wa staa wa muziki wa afrobeats wa Nigeria, Rema hata kabla hawajafanya kolabo kwenye remix ya ‘Calm Down’. Alisema…

Jaji aamua mirabaha ya R.Kelly wapewe waathirika wa Unyanyasaji.

Jaji wa Mahakama moja ya Brooklyn, New York nchini Marekani ameamua kwamba mirabaha iliyotakiwa kulipwa kwa Mwimbaji R. Kelly inayofikia $500,000 (Tsh Bil 1.25) inayoshikiliwa na Universal Music Group NV…

Mashabiki wanavyopagawa na utumbuizaji wa Drake

Kurusha Bra’s jukwaani wakati wa matamasha ya Drake kumekuwa kukienea kwenye mitandao ya kijamii, lakini wakati wa ziara yake mjini Los Angeles rapper huyo alibadili mambo kidogo na kuwaambia mashabiki…

Barnaba afunga pingu za maisha na mpenzi wake Raya

Mwimbaji Staa wa Bongofleva Barnaba Elias Mohamed maarufu Barnaba amefunga ndoa Jijini Dar es salaam na Mchumba wake wa siku nyingi Raya Ally Sykes. Ndoa hiyo imefungwa Nyumbani kwa Mama…

Rekodi za ‘Dear mama’ zampa uteuzi tuzo za Emmy 2Pac

2Pac amekuwa akienziwa sana tangu kifo chake cha kusikitisha zaidi ya miaka 25 iliyopita, na maisha ya kupendeza ya marehemu rapper sasa yanaweza kumwezesha kushindia tuzo ya Emmy. Mnamo Jumatano…