• Mon. Feb 26th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

COLLEGES

  • Home
  • Serikali ya Zanzibar yawekeza upande wa Tehama ili kuongeza ujuzi kwa wanafunzi

Serikali ya Zanzibar yawekeza upande wa Tehama ili kuongeza ujuzi kwa wanafunzi

Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imesema itaendelea kuwekeza katika matumizi ya Tehama ili wanafunzi waweze kupata ujuzi na maarifa yatakayowasaidia katika maisha yao ya baadae.…

Ujenzi wa Chuo kikuu Lindi kuanza Desemba

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo Jumanne Agosti 22, 2023 amesema kunatarajiwa kuanza kwa ujenzi wa Chuo kikuu Cha Dar es Salam Ndaki ya Kilimo Kata…

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu yatoa Jarida Maalumu

Unaweza kupakua jarida hili hapa

Hii hapa Orodha ya Wanafunzi waliofanikiwa kupata Samia Scholarship 2023/2024

Hii hapa orodha ya Wanafunzi waliofanikiwa kupata “Samia Scholarship” 2023/2024

Chuo Kikuu cha Ardhi kimesaini mkataba wa Ujenzi kuongeza majengo mapya

Chuo Kikuu Ardhi kupitia mradi wa HEET kina mipango ya kuanza rasmi ndani ya miezi 18 ya ujenzi wa majengo ambayo ni madarasa, yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 4,604, Maabara…

TZS 731 Bilioni kunufaisha Wanafunzi 205,000 Mikopo ya Elimu ya juu

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mheshimiwa Omary Kipanga leo (Alhamisi, Julai 13, 2023) amezindua ‘Mwongozo wa Uombaji Mikopo ya Elimu ya Juu kwa Mwaka wa Masomo 2023-2024’ jijini…

Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu kufungua Dirisha la kuomba mikopo Julai 15

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwajulisha waombaji mikopo watarajiwa kuwa inakamilisha kuandaa mfumo ambao kwa mara ya kwanza kuanzia mwaka huu 2023/2024 waombaji hawatahitajika…

UDSM na sekta binafsi zaweka mikakati kuwajengea Uzoefu wahitimu wa Vyuo

Ujuzi wa mawasiliano na maadili ya kazi zimeonekana kuwa changamoto kubwa kwa wahitimu wanaoajiriwa kwenye makampuni. Hayo yalibainishwa na wakurugenzi watendaji taasisi ya fedha wa makampuni mbalimbali ikiwemo taasisi za…

Mikopo Elimu ya juu vigezo vyaanikwa, Wahitimu wasisitizwa kufata Utaratibu

1.0 UTANGULIZI Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), itatangaza hivi karibuni ‘Mwongozo wa Utoaji Mkopo na Ruzuku kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa Mwaka wa…

Wanufaika wa Samia Scholarship watapelekwa kusoma IIT Zanzibar

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, imesema baadhi ya wanafunzi watakaopata ufadhili wa masomo ya sayansi (Samia Scholarship), watapelekwa kusoma katika Taasisi ya Teknolojia India (IIT) tawi la Zanzibar linalotarajiwa kufunguliwa…