• Mon. Feb 26th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

MICHEZO

  • Home
  • Cheche zazidi, Saudi Pro League ni bora kuliko ya Ufaransa- Cristiano Ronaldo

Cheche zazidi, Saudi Pro League ni bora kuliko ya Ufaransa- Cristiano Ronaldo

Cristiano Ronaldo amesema kuwa Ligi Kuu ya Saudia ni bora zaidi kuliko ile ya Ufaransa kwa sasa huku akitoa sababu mbalimbali zilizopelekea kufika hapo. Mchezaji huyo anayeongoza kwa kufuatiliwa zaidi…

Ireland na Uingereza kuandaa sasa kifua mbele kuandaa michuano ya Euro 2028

UEFA wamethibitisha kuwa michuano ya Euro 2028 itafanyika nchini Uingereza, Scotland, Wales, Ireland Kaskazini na Ireland baada ya ombi lao la kupata haki ya kuandaa michuano hiyo bila kupingwa. Uturuki…

Napoli walisema “hawakuwa na nia ya kumuudhi au kumkejeli” Victor Osimhen

Napoli walisema “hawakuwa na nia ya kumuudhi au kumkejeli” Victor Osimhen katika chapisho la mtandao wa kijamii lakini hawakumuomba msamaha hadharani. Klabu hiyo ilishirikisha umma video kwenye akaunti yao ya…

FIFA yashinikizwa kumuweka kitimoto Eto’o Rais wa Shirikisho la Soka nchini Cameroon.

Nafasi ya Samuel Eto’ kama Rais wa Shirikisho la Soka Cameroon (FECAFOOT) ipo matatani baada ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kushinikizwa na kundi la maafisa wa soka nchini humo…

CAF yatangazA nchi za Afrika mashariki kuandaa michuano ya AFCON

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi kuwa Tanzania, Kenya na Uganda zimepata nafasi ya kuandaa michuano ya AFCON 2027 kama ambavyo walikuwa wameomba. Taarifa hiyo imetolewa leo Jijini Cairo…

Klabu ya mpira ya KMC imepewa Onyo kali na bodi kuu Tanzania

Klabu ya KMC imepewa Onyo Kali na bodi ya Ligi kuu Tanzania (TPLB) kwa kosa la kuwakilishwa na maafisa wanne tu badala ya watano kwenye mkutano wa maandalizi ya dhidi…

Osimhen achukizwa na waajiri wake Napoli, afuta picha zote za klabu hiyo katika mtandao wa Instagram

Mchezaji wa Nigeria Victor Osimhen ameondoa picha zote zinazohusiana na Napoli kwenye mtandao wake wa Instagram baada ya klabu hiyo kufanya mzaha kwa kukosa penalti dhidi ya Bologna. Mshambulizi wa…

Twiga Stars yang’ara michuano ya WAFCON2024 baada ya kuitoa timu ya taifa ya Ivory Coast

Twiga Stars imewatoa Ivory Coast na kufanikiwa kusonga mbele katika safari ya kufuzu Michuano ya WAFCON2024. Mchezi huo umekuwa na faida kwa timu hii ya Taifa ya wanawake ya Twiga…

Beki wa Croatia mbioni kutimkia Tottenham ,watangaza makubaliano ya kumsajili

Tottenham wametangaza makubaliano ya kumsajili beki chipukizi kutoka Croatia Luka Vuskovic kutoka Hajduk Split. Hata hivyo, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 16 hatajiunga na klabu hiyo ya London hadi…

Ashambuliwa na fahali hadi kufa wakawa kwenye maonesho huko Hispania

Mwanamume mmoja amefariki na rafiki yake kujeruhiwa wakati wa tamasha la mbio za mafahali mashariki mwa Uhispania, mamlaka inasema. Mwanamume huyo, mwenye umri wa miaka 61, alipigwa ubavuni mwake na…