• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

nijuze dunia

  • Home
  • Niger, Mali na BUrkina Faso kung’atuka ECOWAS mara moja

Niger, Mali na BUrkina Faso kung’atuka ECOWAS mara moja

Serikali za kijeshi za Niger, Mali na Burkina Faso zimetangaza kujiondoa mara moja kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS). Viongozi wa mataifa hayo matatu (3) ya…

Watanzania wanaoshikiliwa mateka na kundi la Hamas wafanyiwa jitihada za kukombolewa kiusalama

Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen ameahidi dhamira yake binafsi ya kuimarisha juhudi za serikali ya Israel kuwatafuta wanafunzi wa Kitanzania Clemence Mtenga na Joshua Mollel ambao…

Tembo aliyepotea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo auawa

Tembo aliyetoroka kutoka mbuga ya wanyama ya Virunga mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameliwa na wakazi wa kijiji jirani. “Ni kama bahati ilianguka kutoka mbinguni kwa ajili yetu,”…

Mafuriko nchini Cameroon yazidisha athari, idadi ya waliofariki yafikia 27 waliojeruhiwa idadi yakaribia 50

Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko katika mji mkuu wa Cameroon, imefikia 27 huku zaidi ya 50 wakijeruhiwa, Jumatatu, huku waokoaji wakizidi kuwatafuta waliotoweka kufuatia mafuriko siku iliyotangulia. Mvua iliyonyesha…

Israel yazidi kujihami, Waziri wa Nishati atoa agizo kukata umeme ukanda wa Gaza pia kuzuia huduma ya mafuta na Chakula

Israel inaendelea na mapambano ili kulinda eneo lake Zaidi ya siku mbili baada ya shambulio hilo ambalo halijawahi kushuhudiwa, Israel ilisema mpaka wake na Gazabado haujawa salama kabisa Lakini ilisema…

Mlipuko wauwa watu zaidi ya 50 nchini Pakistan wakiwa kwenye sherehe za Maulid

Takriban watu 50 wameuawa na zaidi ya 50 kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea Pakistan, polisi wameiambia BBC. Mlipuko huo ulitokea karibu na msikiti mmoja katika mkoa wa kusini magharibi wa Balochistan…

Wana Jihad wahusika katika mauaji ya wanajeshi nchini Niger

Mamia ya wanamgambo wa Kiislamu waliokuwa wakiendesha pikipiki wameshambulia mji wa kusini-magharibi mwa Niger na kuua wanajeshi 12, wizara ya ulinzi imesema. Wanajeshi saba wameuawa katika mapigano, na wengine watano…

Mke wa aliekuwa Rais wa Gabon, ashitakiwa kwa makosa ya utakatishaji fedha

Sylvia Bongo, mke wa Rais aliyeondolewa madarakani wa Gabon, Ali Bongo, ameshtakiwa kwa utakatishaji fedha, kupokea mali ya wizi, kughushi. Mwendesha mashtaka wa umma Andre Patrick Roponat alitangaza Ijumaa kuwa…

Putin Asema Wafungwa Waliouawa Ukraine Walilipa Madeni kwa Jamii

Rais Vladimir Putin siku ya Ijumaa alisema kuwa wafungwa wa Urusi waliofariki nchini Ukraine wamejikomboa mbele ya jamii. Ili kuimarisha mapigano ya mara kwa mara nchini Ukraine, jeshi na kundi…

Rais wa Kazakhstan asema Hawataisaidia Urusi Kuondoa Vikwazo

Kiongozi wa Kazakhstan alisema Alhamisi kuwa nchi yake haitaisaidia Urusi kukwepa vikwazo vya Magharibi vilivyowekwa kutokana na vita vya Ukraine, huku kukiwa na tuhuma kwamba Moscow bado inapokea bidhaa muhimu…