• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

NIJUZE

  • Home
  • Serikali yaanza kulifanyia kazi swala la mlima Kitonga, Upanuzi wa barabara waanza kupunguza ajali.

Serikali yaanza kulifanyia kazi swala la mlima Kitonga, Upanuzi wa barabara waanza kupunguza ajali.

Hatimaye kilio cha muda mrefu cha Watumiaji wa barabara kuu ya TANZAM kutokea Ruaha Mbuyuni hususani eneo la mlima Kitonga kimeanza kufanyiwa kazi kwa kupanua barabara hiyo kuifanya ya njia…

Kesi ya mwanamke aliyehukumiwa miaka 22 kisa nyama ya swala rufaa yaanza kusikilizwa Iringa

Mahakama Kuu ya Mkoa wa Iringa chini ya Jaji Mfawidhi Elvin Mgetta imesikiliza kesi ya rufaa namba 84101/2023 dhidi ya Jamhuri ya Mkazi wa Mtaa wa Isakalilo Manispaa ya Iringa…

Naibu Waziri wa Uchukuzi apeleka neema ya vifaa vya Hospitali Mufindi

Mbunge wa Mufindi Kusini ambeye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amekabidhi kontena lenye shehene yenye vifaa mbalimbali vya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi vyenye thamani ya Tsh.…

Hukumu ya miaka 22 kwa aliyekamatwa na vipande 12 vya nyama ya swala Ikemewe.

Mambo ya kufikiria kwenye hii hukumu;1. Hivi ni kweli waongozaji wa hii kesi walikosa utu kiasi cha kutokutambua thamani ya mwanamke huyu mpambanaji ambaye hata kwa kumtazama tu unagundua hali…

Putin aita Makombora ya ATACMS ya Marekani kwa Ukraine kuwa ni ‘Kosa’

Rais Vladimir Putin siku ya Jumatano alishutumu usambazaji wa Washington wa makombora ya masafa marefu ya ATACMS kwa Ukraine kama “kosa” ambalo halingebadilisha kimsingi hali kwenye uwanja wa vita. Rais…

mwalimu ashitakiwa kwa kuwatoa bikra watoto watano (5) wa Darasa la kwanza.

Mwalimu wa kiume aliyejulikana kwa jina moja la Ngoitanile anayekaribia kuwa na umri wa miaka sitini (60) anayefundisha katika shule ya msingi Mwembetogwa iliyopo Mtila kata ya Matola halmashauri ya…

Viongozi wa Wizara ya Afya kutoka Tanzania wamekutana na Naibu Msimizi mkuu wa USAID

Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mhe.Nassor Mazrui (Mb) na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dr John Jingu, na Dkt Atul Gawande, Naibu Msimamizi Mkuu wa shirika…

C.P Wakulyamba atoa Somo la miongozo kwa Jeshi la Uhifadhi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Kamishna Benedict Wakulyamba amewataka askari wa Jeshi la Uhifadhi kufanya kazi kwa kufuata Miongozo, Kanuni na kuzingatia sheria zilizopo ili kuongeza ufanisi…

TAMWA waitaja rushwa ya ngono kama kero kupelekea kukosekana kwa waandishi wa habari katika nafasi za juu za Uongozi

Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) kimesema kuwa rushwa ya ngono ni moja ya sababu inayochangia kukosekana kwa waandishi wa habari wanawake katika nafasi za juu za uongozi ndani ya…

Byabato awataka watendaji kanda ya Ziwa kuhakikisha miradi inasimamiwa kwa kasi na ufanisi

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Stephen Byabato, amewataka watendaji na wasimamizi wanaosimamia utekelezaji wa Programu na miradi mbalimbali katika Jiji la Mwanza, kupitia Kamisheni…