• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

NIJUZE

  • Home
  • Baada ya kuapishwa, Mkurugenzi wa Tanesco apewa miezi sita suala la umeme kukatika

Baada ya kuapishwa, Mkurugenzi wa Tanesco apewa miezi sita suala la umeme kukatika

Rais Samia ampa miezi sita Mkurugenzi Tanesco, asisikie tena kelele za kukatika kwa umeme Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Mkurugenzi mpya wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Gissima Nyamo- Hanga…

Tanzania na Marekani zajumuika kwenye makubaliano kuboresha usimamizi wa mifumo ya Afya

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeingia makubaliano na Serikali ya Marekani juu ya uboreshaji wa mifumo ya usimamizi wa masuala ya…

Samia aitaja sababu ya kumuhamisha Maharage Chande TTCL na kumteua kuwa Postamasta

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja ya sababu ya kumuhamisha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Maharage Chande kuwa Postamasta Mkuu Shirika la Posta Tanzania baada…

Ahukumiwa kifungo cha maisha Jela kwa kumbaka mtoto wa Umri wa miaka 7

Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha jela Steve Ngusi mwenye umri wa miaka 20 baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7…

Meya wa jiji la Arusha aiwakilisha nchi mkutano wa mameya kutoka majiji yenye nguvu Duniani,Tanzania kuandaa mkutano mkubwa wa Mameya 2024

Mstahiki meya Wa Jiji la Arusha mh Maximilian Iranghe ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano Wa Mameya Wa Majiji yote yenye nguvu Duniani (Strong City network) Mkutano uliofanyika Nchini Marekani Katika Jiji…

Miundombinu ya barabara bado ni kikwazo kwa wakazi wa Kilosa

Wakazi wa kata ya Uleling’ombe wilayani Kilosa mkoani Morogoro wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo hilo hali ambayo imekuwa kikwazo kwao kushindwa kufanya shughuli za uzalishaji mali ikiwemo…

Raia wa marekani ahukumiwa kifungo cha jela mwaka mmoja kwa kujipatia kitambulisho (NIDA)

Raia wa Marekani Yaki Lee (45) maarufu kama Yaki Khalid Juma amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh. 500,000 baadaa ya kupatikana na hatia katika makosa…

Mto Msimbazi kuipendesha Dar, Bilioni 650 zatengwa kuanza utekelezaji

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Eng. Rogatus H. Matavila amesema Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi ukikamilika utalibadilisha na kulipendezesha Jiji…

Waziri Mkuu ashtukia Upigaji unaofanywa Kigoma, aagiza timu ya Uchunguzi kulifanyia kazi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema atapeleka Timu maalum ya uchunguzi Wilayani Kigoma ili ifanye uchunguzi wa fedha zinazopotea kinyemela kupitia mtandao wa Watumishi wasio Waaminifu. “Hapa Manispaa mnapokea fedha, zinakaa…

Jimbo la Mtama lapewa kipaumbele kufungiwa taa za Barabarani

Serikali imesema Jimbo la Mtama lililopo Mkoani Lindi litapewa kipaumbele katika uwekaji wa taa za barabarani ili kuruhusu usafirishaji kwa muda wote. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema hayo leo…