• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

NIJUZE

  • Home
  • Upasuaji wa kupandikiza uume BMH wafanikiwa.

Upasuaji wa kupandikiza uume BMH wafanikiwa.

Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa upasuaji wa mfumo wa mkojo nchini (TAUS) pamoja na Daktari Bingwa kutoka Ufaransa kwa mara ya kwanza…

MV Mwanza Tumaini jipya la usafiri wa maji Kanda ya Ziwa

Kufuatia ziara ya mheshimiwa rais Dr. Samia Suluhu Hassan, jijini mwanza iliyoambatana na ukaguzi wa miradi tofauti tofauti, ameweza kutembelea pia mradi wa ujenzi wa meli mpya kubwa na ya…

Mwanza sasa mambo moto,Hoteli ya kisasa yaendelea kujengwa.

Kufuatia miradi mbalimbali inayolenga kukuza uchumi na miundo mbinu, mfuko wa taifa wa hifadhi ya jamii NSSF unaendelea kufanya uwekezaji wa kiwango cha juu kufuatia ujenzi wa hoteli ya kisasa…

Mbowe: Tunauza Uhuru wetu kwa Waarabu (Dubai)

Akihojiwa na vyomba vya Habari vya Kimataifa huko Ulaya kwenye ziara yake ya Kikazi , kuhusu Kuuzwa kwa Bandari za Tanzania kwa Waarabu wa Dubai, Freeman Mbowe ambaye pia ni…

Waliofariki kutoka msitu wa shakahola Kenya idadi yaongezeka yafikia 300

Idadi ya waliofariki kutokana na ibada ya kukaa njaa nchini Kenya ilivuka hadi watu 300 siku ya Jumanne baada ya mamlaka kufukua miili zaidi msituni, katika mojawapo ya mikasa mbaya…

Taharuki kati ya NHC na Wafanyabiashara Kariakoo, wafanyabiashara walia na serikali.

Wafanyabiashara zaidi ya 1000 wamepewa notice ya miezi 3 kuhama kwenye majengo ya kariakoo, Hii ni kufuatia barua rasmi ya serikali kupitia shirika hilo la nyumba la Taifa(NHC) ili kupisha…

Kampuni ya Chalinze Cement waibukia Kortini DSM.

KAMPUNI ya Saruji ya Chalinze Cement, imefungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ili kumtaka Wakala wa Usajili Biashara na Leseni (BRELA), kuirudisha mara moja kampuni hiyo katika…

Rais wa Zanzibar Mh.Dk.Hussein Mwinyi aishukuru China kwa msaada Sekta ya Afya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameishukuru ya Serikali Jamhuri ya Watu wa China kwa kusaidia sekta ya afya ikiwemo vifaa tiba, miundombinu ya…

Mpinzani wa Rais mwaka mmoja jela kwa shitaka la Ugaidi

Rachel Ghannouchi, mwenye umri wa miaka 81 na spika wa zamani wa bunge, alikamatwa mwezi uliopita kwa tuhuma mbalimbali, kama sehemu ya kile ambacho shirika la Human Rights Watch lilikitaja…