• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

real estate

  • Home
  • Rais azindua jengo la Kitega Uchumi (Safina House) jijini Dodoma

Rais azindua jengo la Kitega Uchumi (Safina House) jijini Dodoma

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua rasmi Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT), katika Viwanja vya Kanisa Kuu…

Urasimu wa vibali vya makazi wachangia ujenzi holela wa miji

Huenda changamoto ya makazi holela zikaendelea kuongezeka nchini endapo Serikali haitaondoa urasimu wa upatikanaji wa vibali vya ujenzi kwenye halmashauri. Licha ya mwongozo wa utoaji wa vibali vya ujenzi uliotolewa…

Umiliki wa nyumba kwa raia wa kigeni bado ni ndoto

Sekta ya majengo nchini Tanzania ni moja ya sekta zinazokua kwa kasi barani Afrika lakini kwa jinsi ilivyo, umiliki wa majengo kwa raia wa kigeni umepigwa marufuku kisheria kwa sababu…

NYUMBA INAUZWA

NYUMBA INAUZWA: Ina patikana Mbezi beach Goigi, Ina vyumba vinne vya kulala, kimoja ni master kubwa, Eneo lake linaukubwa wa sqm 600, Bei ni TSH. MIL 200. kwa mawasiliano piga:…

NYUMBA ZINAUZWA

NYUMBA ZINAUZWA: Nyumba zinzuzwa ziko sita katika eneo moja, zina patikana Tabata. Kilamoja ina vyumba viwili vya kulala,sebure,sehemu ya kulia chakula na choo. Bei ni TSH. MIL 350. kwa mawasiliano…

NYUMBA INAUZWA

NYUMBA INAUZWA: Inapatikana Wazo, Ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja master. Ina sebure,jiko,dinning na choo cha jumiya. Bei yake ni TSH. MIL 150. kwa mawasiliano piga: 0652314181

NYUMBA INAUZWA

NYUMBA INAUZWA: Inapatikana Goba, njia ya Makongo juu, Ina vyumba vinne vyote master, Ina sebure,jiko,dinning na stoo, Pia kuna underground room, maji yanapatika masaa 24, parking kubwa ya magari, Bei…

NYUMBA INAPANGISHWA

NYUMBA INAPANGISHWA: Inapatikana Kijitonyama, Vyumba vitatu(3) vya kulala kimoja master bedroom(choo,bafu na chumba cha nguo) pia kuna dressing table, kuna dressing table iliyojengewa. Sebure,dinning,jiko la kisasa na choo cha wageni.…

PROFILE

PROFILE Rockland is company consulting group based in Dar Es Salaam, Tanzania which provides services in the areas of real estate‚Äôs buys, renting buildings, construction activities and management, through that…

NYUMBA INAUZWA

NYUMBA INAUZWA: Inapatika Mbweni JKT, Ina vyumba vya kulala, sebure,choo cha jumuiya na masta, jiko, na sehemu ya kulia chakula. Ina eneo la ukubwa wa 1400sqm’ Bei yake ni SH.…