• Mon. Feb 26th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

SIASA 360′

  • Home
  • “Ningekuwa Rais”, Hatua kali kwa Jerry Silaa zingechukuliwa.

“Ningekuwa Rais”, Hatua kali kwa Jerry Silaa zingechukuliwa.

Septemba 04, mwaka jana, Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, aliwasili ofisi ya Wizara ya Ardhi jijini Dodoma na kukutana na watumishi wa wizara hiyo na…

UVCCM imewapa majukumu DC Jokate na Komredi Kawaida Uchaguzi wa Chipukizi Taifa

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeunda Kamati Maalum kwa ajili ya Maandalizi ya Uchaguzi wa Chipukizi wa CCM Taifa unaotarajiwa kufanyika December 2023 ambapo umempitisha Mkuu wa…

Kauli ya Mh.Mchengerwa yashindwa kuvumilika yawachefua Wapinzani

Kauli aliyotoa Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, akisema hakitapotea kijiji hata kimoja jimboni kwake Rufiji kwenda upinzani katika Uchaguzi wa Serikali…

Lissu na wenzake kuripoti tena leo Kituo cha Polisi Arusha

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limempatia dhamana viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wamekamatwa akiwemo Makamu mwenyekiti wake Tundu Lissu. Hata hivyo jeshi hilo limewataka viongozi…

Mbowe alaani vikali kitendo cha Ukamataji na Unyanyasaji unaofanywa na Jeshi la Polisi

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema CHADEMA inalaani ukamataji, unyanyasaji na usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti…

Jeshi la Polisi lazuia mikutano ya Chadema wilayani Ngorongoro

Jeshi la Polisi Wilayani Ngorongoro limesitisha mikutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliyotarajiwa kufanyika septemba 8-9 mwaka huu maeneo ya kata 3 zilizopo tarafa ya Loliondo…

Waziri wa Ujenzi Innocent Bahungwa amshukuru Rais Samia kwa kuendelea kumuamini

Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent L. Bashungwa(Mb) amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini na ameahidi kudhibiti na kupambana na Rushwa katika mikataba, manunuzi na usimamizi wa…

Mzee Kinana awaonya wanapambana kwa nia ya kuwania Ubunge uchaguzi ujao

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, ameziagiza kamati za siasa za CCM, kuwafuatilia na kuwachukulia hatua Wanachama walioanza kupitapita kusaka ubunge na udiwani akisema wanaofanya hivyo wanakiuka kanuni,…

Philip Mpango azungumzia timu ya Ushindi kufuatia Uteuzi uliofanywa na Rais Samia

Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameona ni vema apange safu ya ushindi ambayo inaweza kufunga magoli zaidi ili kuanzia mwakani Uchaguzi…

Tundu Lissu azungumzia kuvunjika kwa maridhiano kati ya CCM na CHADEMA

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara Tundu Lissu amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekataa kuendelea kwa maridhiano kwakuwa CHADEMA ilipeleka mapendekezo mazuri ya kila kitu…