• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

LIFESTYLE

  • Home
  • Wafanyakazi kampuni ya uchimbaji madini GGML wajitosa kupima saratani

Wafanyakazi kampuni ya uchimbaji madini GGML wajitosa kupima saratani

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wamejitokeza katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini Geita na kupatiwa elimu pamoja na uchunguzi wa saratani mbalimbali. Huduma hiyo…

Ukoo wa Laizer na idadi ya watu 310 mpaka kifo chake

Uzao wa watu 307 wa marehemu mzee Maliake Laizer (93) wa Kata ya Naisinyai wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara, umefikia watu 310 baada ya wajukuu watatu kusahaulika awali katika orodha…

Zoezi la matibabu ya kuzibua mishipa ya damu lafanikiwa kwa wagonjwa 10

Wagonjwa 10 wamefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo wa kuzibua mishipa ya damu iliyoziba katika kambi maalumu ya matibabu ya moyo ya siku saba. Kambi hiyo iliyomalizika jana katika Taasisi ya…

Dondoo: Usipuuze mambo haya baada ya tendo la ndoa

1.Pumzika: Jipe muda wa kupumzika na kupumzika baada ya kujamiiana. Sikiliza mwili wako na ujiruhusu kupumzika kwa muda mrefu kama unahitaji. 2.Hydrate: Kunywa maji mengi baada ya kujamiiana ili kusaidia…

Kwa mwaka 2023 hivi umewahi kuwaza ukaishi kwenye jiji lipi kali duniani?

Baada ya kupungua kwa janga la Corona, ubora wa maisha unaongezeka tena katika miji mingi duniani. Kwa kweli, uwezo wa kuishi kwa ujumla umefikia kiwango cha juu zaidi katika miaka…

Umewahi kujua nini kinafanyika na namna gani Uume unapandikizwa?

Huduma ya upandikizaji uume iliyotangazwa hivi karibuni na Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma ilizua mjadala, huku wengi wakipiga simu kuulizia huduma hiyo. Hospitali hiyo ilifanya upasuaji huo wa kwanza…

Tiba awali, Jenga Heshima ya ndoa uitwe rijali kwa Kuzingatia haya endapo ni muathirika wa Kujichua

Wakati kizazi cha sasa kikizidi kuharibika na kuripotiwa vijana wengi kuharibu saikolojia zao kiafya hali ambayo hupelekea kushindwa kufanya vzuri katika tendo la ndoa na kujihisi wana upungufu wa nguvu…

Watanzania washauriwa kupunguza Ulevi, Angalau bia mbili kwa siku

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau tatu kwa siku ili…

Mfahamu zaidi Kadinali mteule Protase Rugambwa

Jana Jumapili Julai 9, 2023 kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francisco amemteua Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu la Tabora, Protase Rugambwa kuwa kardinali nchini Tanzania. Je, unaujua wasifu wa…

Kwanini Ule ndizi? Hizi hapa ni faida

Ndizi ni mojawapo ya tunda linalopendwa zaidi duniani, likiwa limesheheni vitamini na madini. Ziko faida kadhaa za kiafya za ndizi ambazo ni muhimu kwa mlaji kula tunda hili. Faida hizi…