• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

NIJUZE TECH

  • Home
  • Nissan yanuia kuuza magari ya Umeme pekee barani Ulaya ifikapo 2030

Nissan yanuia kuuza magari ya Umeme pekee barani Ulaya ifikapo 2030

Kampuni ya Magari ya Nissan imesema kuwa kufikia mwaka 2030 imenuia kuuza Magari ya Umeme tu barani Ulaya. Bosi Mkuu wa Kampuni hiyo amethibitisha kuwa kuanzia sasa miundo yote mipya…

WhatsApp sasa kupatikana kwenye vifaa vya Ipad duniani

Hii inaweza kukushangaza kwa sababu ya kutokujua au kutokuwa na taarifa nyingi kuhusu teknolojia inayohusisha na vifaa vya Apple duniani. Kumbuka mwanzo kabisa WhatsApp ilianzishwa mahususi kwa ajili ya matumizi…

Urusi yakaribisha Makampuni ya Kichina kufufua magari ya Enzi za Soviet-Moskvitch

Urusi imekaribisha makampuni ya Kichina kujiunga katika jitihada zake za kufufua gari za enzi ya Soviet Moskvitch, biashara ya Vedomosti kila siku iliripoti Alhamisi, ikinukuu vyanzo viwili ambavyo havikutajwa. Ripoti…

Mpango wa Serikali wa Tanzania Kidijitali kunufaisha zaidi ya watumishi 500

Serikali kupitia mradi wa Tanzania ya Kidijitali awamu ya kwanza 2023/24 umetoa ufadhili masomo ya muda mrefu na muda mfupi nje ya nchi kwa watumishi wa serikali takribani 500. Katibu…

Serikali ya Zanzibar yawekeza upande wa Tehama ili kuongeza ujuzi kwa wanafunzi

Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imesema itaendelea kuwekeza katika matumizi ya Tehama ili wanafunzi waweze kupata ujuzi na maarifa yatakayowasaidia katika maisha yao ya baadae.…

Putin atoa Pongezi kwa India baada ya mafanikio yake kupeleka cha anga mwezini.

Rais wa Urusi Vladimir Putin jana siku ya Jumatano alipongeza mafanikio “ya kuvutia” kutoka India, ambayo ilikuwa taifa la kwanza kutua chombo cha anga kwenye ncha ya kusini ya Mwezi,…

India yaweka rekodi na kuwa nchi ya nne chombo chake kufika mwezini

Baada ya takribani miaka minne ya kujaribu na kufeli hatimaye India imeweka historia kwa kuwa Nchi ya nne kufikisha chombo chake mwezini na Nchi ya kwanza kugusa karibu na eneo…

Wizara ya Afya yahitaji mifumo michache ya TEHAMA kwa taarifa za Afya inayowasiliana.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe amewataka wataalam wa TEHAMA kufanyia kazi mifumo ya taarifa ya Wizara ili iweze kuwasiliana na kuwa na mifumo michache yenye kuleta tija…

Mambo saba ya kuzingatia pindi unaponunua sim iliyotumika (USED)

Watu wengi hununua simu zilizotumika kwa mda (used phones) kutokana na hali ya kutomudu gharama kubwa za kununua simu mpya, japo kununua simu mpya ni vizuri zaidi ila kutokana na…

Microsoft Word imerahisishwa, Ukichoka “ku-type” we zungumza tu

Je? uko kwenye kompyuta yako lakini umechoka ku-type na bado unakazi ambayo unapaswa uimalize, shusha pumzi makofi kwa Microsoft Word Tafadhali. Lipo jambo zuri kutokea Microsoft Word ambapo inakuwezesha mtumiaji…