• Sat. Feb 24th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

TOUR & EVENT

  • Home
  • Agosti 12 ilikuwaje nchini kwako? Ndiyo ni baada ya ile siku ya Simba Duniani.

Agosti 12 ilikuwaje nchini kwako? Ndiyo ni baada ya ile siku ya Simba Duniani.

Agosti 12, 2012 imetengwa kama siku ya kwanza ya tembo duniani na ilizinduliwa ili kuleta umakini kwa hali ya dharura ya tembo wa Asia na Afrika. Ofisi ya Umoja wa…

Wizara ya Utalii Zanzibar yamtangaza balozi wake mpya wa Utalii ambae ni bondia wa kike kutoka Uingereza

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Simai Mohammed Said kupitia Wizara ya Utalii amemtangaza Bingwa maarufu wa Dunia wa mchezo wa ngumi za Wanawake kutoka Uingereza Natasha Paula…

Kenya yaongoza kwa idadi ya watalii Afrika

Idadi ya watalii walioingia nchini kipindi cha January hadi Juni 2023 imeongezeka hadi kufikia 759,327, huku Kenya ikiongoza kutoa watalii wengi wanaotembelea Tanzania wakitokea nchi za Afrika. Hayo yameelezwa leo…

Kundi la watalii kupitia lango la uwanja wa ndege wa KIA laongezeka kufikia idadi ya 927,000

Idadi watalii wanaoingia nchini kutoka mataifa mbalimbali kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA) kutembelea hifadhi za taifa wameongezeka kutoka watalii 780,000 hadi kufikia watalii 927,000. Hayo yamesemwa leo…

Askari wa Jeshi la Uhifadhi afariki kwa kugongwa na nyati Mkomazi

Askari wa Uhifadhi, katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, Samwel Edward Nassari amefariki dunia baada ya kugongwa na nyati katika eneo la Mbula lilipo katika hifadhi hiyo, wilayani ya Same,…

Rebecca Damiani aaweka rekodi Kupanda mlima Kilimanjaro

Rebecca Damian (14), mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kivukoni, ameweka historia kwa kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro tangu kuanza kwa kampeni ya ‘GGM Kili Challenge’ miaka 20 iliyopita. Mwenzake, Abel…

Ni milioni tano mnyama kuitwa jina lako

Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa kuwezesha watu wanaotaka baadhi ya wanyama…

Wenye fedha karibuni muwekeze kwenye sekta ya Utalii ‘DC Kitta’

Mkuu wa wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe Claudia Kitta ametoa wito na kuwakaribisha wenye nia ya uwekezaji kuwekeza kwenye vivutio vya utalii ndani ya wilaya hiyo. Ametoa wito huo wakati…

Kikwete na Utalii kwa Wahadza Wilaya ya Karatu

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma Kikwete ameitembelea jamii ya Wahadzabe wanaoishi katika Kijiji cha Endamagha kilichopo Kata Tarafa ya Eyasi, Wilaya ya Karatu.…

TAWA yazidi kutoa Elimu juu ya Wanyamapori

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeishauri jamii kuacha tabia ya kujenga makazi karibu na maeneo ya hifadhi za mbuga za wanyamapori ili kuepuka hatari zinazoweza kutokea kutokana na…