• Mon. Feb 26th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

Travel

  • Home
  • Mkono wa abiria uliosagika kwenye ajali ya basi umekatwa

Mkono wa abiria uliosagika kwenye ajali ya basi umekatwa

Abiria waliopata ajali katika Basi la Al-Saedy juzi asubuhi waliendelea na safari baada ya kutafutiwa usafiri mwingine, huku abiria aliyeumia mkono akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Kitete. Basi hilo…

Basi la “New Force” tena lanusurika kuuwa watu Morogoro

Mtu mmoja amelazwa katika Hospitali ya Mtakatifu Kizito wilayani Mikumi na wengine wametibiwa na kuruhusiwa baada ya basi la kampuni ya Golden Deer walilokuwa wakisafiria kutoka Kyela kwenda Dar es…

Nijuze inakujuza leo juu ya kazi ya Uhudumu wa ndege, fuatilia makala hii

Kazi ya uhudumu wa ndege mara nyingi inaonekana kuwa ya kupendeza na ya kusisimua, yenye fursa za kusafiri ulimwenguni na kukutana na watu kutoka tamaduni tofauti lakini pia ina mapungufu…

Basi lililozama maji Pangani, hamna kifo abilia wote walinusurika

Sheria iliyowekwa na Serikali ya watu kushuka kwenye magari wakati yanapovushwa na vivuko umewanusuru abiria wa basi la Kampuni ya Moa lililozama leo mchana katika Mto Pangani. Kwa mujibu wa…

Bara la Ulaya sasa kukumbwa na joto “Charon”

Wiki ijayo, baadhi ya maeneo barani Ulaya yanaweza kukumbwa na hali ya joto kali zaidi kuwahi kutokea barani humo. Hali hii imebainishwa na wataalam wa hali ya hewa, ambapo wametahadharisha…

Kwa Ufupi: Maajabu ya Pyramid kutoka nchini Misri

Mojawapo ya pyramid refu zaidi huko Nchini Misri (Egypt) lina urefu wa futi 481 sawa na jengo lenye ghorofa 48.Lina uzito wa tani million 14.5,limechukua eneo la mraba hekari 13…

Jeshi la Polisi wasuka doria maalumu kudhibiti uvunjifu wa sheria barabarani kwa safari za usiku

Kufuatia ruhusa ya serikali kwa mabasi yafanyayo masafa marefu kupewa ruhusa ya kufanya safari zake masaa 24, Serikali imeamua kuja na mkakati tofauti wa kufanya ukaguzi kwa barabara zote ili…

Nahodha aliyeokoa watu 2000 baharini apewa tuzo

Ikiwa ni siku ya maadhimisho ya siku ya mabaharia duniani, Nahodha aliyefanya uokoaji wa zaidi ya wa watu elfu mbili apewa tuzo huku akisimulia hadithi ya tukio hilo kwa ufupi;…

Basi la ‘Happy Nation’ lapata ajali likiwa safarini kuelekea Dar

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Richard Abwao ameelezea kwa njia ya simu kuwa ajali ya Basi la Kampuni ya Happy Nation (T657 EBK) iliyotokea leo…

Mabasi 38 kutoka kampuni ya ‘New force’ yakumbana na Spana ya LATRA

Baada ya kukumbwa na misukosuko kwa majuma mawili mfululizo, hatimae mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza kufuta ratiba za saa tisa alfajiri na saa kumi na moja alfajiri kwa…