• Tue. Feb 27th, 2024

Nijuzetz

Waambie Wanijue Wanitumie

UCHUMI

  • Home
  • Almas ya kihistoria na kubwa yauzwa kwa bei ghali zaidi huko Geneva

Almas ya kihistoria na kubwa yauzwa kwa bei ghali zaidi huko Geneva

Almasi ya bluu adimu sana iliuzwa kwa zaidi ya $40m (£32m) katika mnada wa Christie huko Geneva, mashirika ya habari yalisema. Almasi ya Bleu Royal yenye umbo la karati 17.61,…

Benki ya NMB yatangaza mafanikio ya kifedha kwa kipindi cha mwezi Septemba

Benki ya NMB imetangaza kupata matokeo imara ya kifedha katika kipindi kilichoishia September 30 mwaka 2023, ambapo faida kabla ya kodi ya Benki imefikia Tsh. bilioni 569 ikiwa ni ongezeko…

Mbunge mstaafu jimbo la bozi alalamikia zao la kahawa kuongezewa tozo

Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mbozi 2015-2020 Pascal Haonga amesema zao la kahawa limewekewa TOZO nyingi hali inayopelekea wakulima kushindwa kunufaika na zao hilo. Akizungumza leo kwenye mkutano wa hadhara…

Kairuki ajipanga kutangaza Utalii kimataifa zaidi, huku akisisitiza vyombo vya habari Kutangaza Utalii

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amevitaka Vyombo Vya Habari kutangaza vivutio vya utalii ili watalii wengi waweze kuvifahamu na kuja nchini hatimaye kuinua uchumi wa nchi yetu.…

Jeshi la Uhifadhi laaanda mikakati kudhibiti wanyamapori wakali na Waharifu

Taasisi zote nne zinazounda Jeshi la Uhifadhi chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii zimeagizwa kuhakikisha zinashiriki kikamilifu katika kudhibiti changamoto za wanyamapori wakali na waaribifu nchini na kuwa suala…

Wachimbaji wadogo kuwezeshwa mitaji ili kutimiza malengo ya Serikali kuwa na akiba ya Dhahabu

Wachimbaji nchini Tanzania kuwezeshwa mtaji na Benki Kuu ya Tanzania kwa madhumuni ya kuongeza uzalishaji wa dhahabu nchini ambayo itanunuliwa na Benki kuu ya Tanzania(BOT). Hayo yamesemwa jana Wilayani Bukombe,Mkoani…

Mjasiriamali maarufu David Richard, ateuliwa kuwa baloziwa mtandao wa Pan African

David Richard ateuliwa Kuwa Balozi wa Mtandao wa Biashara wa Kikristo wa Pan African Katika Afrika Mashariki. Uteuzi huu unalenga kuimarisha ushirikiano na kuendeleza biashara na maendeleo ya kiuchumi katika…

Waziri wa Elimu aimwagia sifa Benki ya KCB kwa kutoa Elimu ya Mafunzo ya Amali kwa vijana

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameipongeza Benki ya KCB Tanzania kwa namna inavyowezesha vijana kupata mafunzo ya Amali kupitia program ya Tujiari. Akizungumza jijini Dodoma na…

Waandishi wa habari Pwani wafanya ziara kituo kikuu cha Taifa Gas’ Kigamboni

Waandishi wa habari wa Mkoa wa Pwani wamefanya ziara ya kutembelea kituo kikuu cha kupokelea uingizaji wa gasi ya kampuni ya Taifa Gas nchini kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam…

Benki ya NMB yaja na mkakati wenye dhamana ya kuwakwamua wakulima wadogo ili kuhakikisha utoshelevu wa Chakula

Wakulima wadogo wana mchango mkubwa katika kuhakikisha utoshelevu na uhakika wa chakula nchini jambo ambalo Benki ya NMB imeahidi kuendelea kulifadhili na kuliunga mkono kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa…