Authors Posts by nijuzetz

nijuzetz

862 POSTS 0 COMMENTS

Marekani na Korea Kusini wafanya mazoezi makubwa zaidi ya kijeshi

Marekani na Korea Kusini kwenye mazoezi makubwa zaidi ya kijeshiMarekani na Korea Kusini wameanza mazoezi makubwa zaidi ya pamoja ya kijeshi kuwai kufanywa kati...

Chadema Yafunguka Madai Ya Mnyika Kujiuzulu

Mbunge wa Kibamba kwa tiketi ya Chadema, John Mnyika.Mitandao ya kijamii jana imeripoti kuwa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika amejivua uanachama,taarifa hiyo imekanushwa vikali...

MACHUNGU YA BOMOABOMOA YAHAMIA DODOMA

Wakati majengo ya Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) na Wizara ya Maji yakiendelea kubomolewa Jijini Dar es Salaam kupisha upanuzi wa barabara, vilio vilitawala hapo...

Korea Kaskazini: Tunaweza kushambulia eneo lolote Marekani

Kombora hilo lililorushwa nyakati za giza alfajiri siku ya Jumatano lina uwezo mkubwa kushinda kombora lolote lile a taifa hiloKorea Kaskazini imesema kuwa imefanikiwa...

Makamu Wa Rais Amtembelea Lissu Hospitali

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 28, 2017 alimjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) Mhe....

RAIS KENYATTA AAPISHWA RASMI.

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta leo ameapishwa rasmi na kuwa Rais wa Taifa hilo linaloongoza kwa uchumi Afrika ya Mashariki katika utawala wake kwa awamu...

CCM Yashinda Kwa Kishindo Uchaguzi Wa Madiwani Arumeru

Chama cha Mapinduzi (CCM).Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru Mashariki katika uchaguzi mdogo wa Madiwani uliofanyika jana jumapili. Kata hizo na matokeo yake...

JPM Amwagia Sifa Lukuki JK, Atoboa Siri Ya Kutobomoa Tanesco

Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Kampasi ya Mloganzila.Rais, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa...

Kinana Asema Hakuna Waziri Wa Kumkatalia Jambo

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema kuwa hakuna waziri mwenye ubavu wa kukataa pale anapoamua kumtuma jambo. Kinana amesema hayo katika mkutano wa hadhara...

Mnangagwa aapa kuwahudumia raia wote wa Zimbabwe

Mnangagwa akichukua kiapo cha kuwa raisRaia wa Zimbabwe wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa michezo mjini katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare kwa...