Benki kuu Tanzania yafunga jumla ya benki tano

Benki kuu Tanzania yafunga jumla ya benki tano

1
0
SHARE

Benki kuu Tanzania yafunga jumla ya benki tano

Benki kuu nchini Tanzania imefuta leseni za benki tano na kuziweka chini ya mrasimu.

Benki kuu ilisema benki hizo zinakumbwa na matatizo ya kifedha.

Ilisema kuwa benki hizo kuendelea kuhudmu katika hali zilivyo sasa inaweza kuwa hatari kwa mifumo ya kifedha.

Covenant Bank for Women, Efatha Bank Limited, Njombe Community Bank Limited, Meru Community Bank Limited, na Kagera Farmers’ Cooperative Bank Limited zote zimepoteza leseni zao.

Gazeti la The East African linasema kuwa wiki tatu zilizopita, Rais John Magufuli aliamrisha benki kuu kuchukua hatua dhidi ya benki zisizo na fedha za kutosha.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY