burudani

burudani

Bayern Munich walala 2-1 mbele ya Real Madrid

Ronaldo anashikilia rekodi ya ufungaji muda wote barani Ulaya akiwa na magoli 100. Cristiano Ronaldo amemaliza ukame wa miezi saba kwenye ligi ya mabingwa Ulaya...

UEFA: Barcelona yabamizwa na Juventus 3-0 Klabu Bingwa

Juventus waliwapa kisago BarcaBarcelona imechabangwa magoli matatu kwa sufuri na Juventus katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Klabu Bingwa Ulaya. Paulo Dybala alifunga...

Basi la timu ya B. Dortmund lakabiliwa na milipuko Ujerumani

Gari la Dortmund lililengwa na milipuko mitatuPolisi nchini Ujerumani imesema kuwa gari lililokuwa limewabeba wachezaji wa Borussia Dortmund kuelekea katika mchezo wa nyumbani kwenye...

Arsenal walala 3-0 mbele ya Crystal Palace

Kipindi cha pili Arsenal hawakupiga shuti lililolenga lango la Palace Crystal Palace imeendelea kurudisha matumaini ya kusalia kwenye ligi kuu ya England baada ya kuichapa...

Uholanzi yamtimua kocha wa timu ya taifa

Danny Blind ni baba wa mlinzi wa Man United Daley BlindUholanzi imemtimua kocha wa timu yake ya taifa Danny Blind baada ya kudumu kwa...

Man City , Liverpool hakuna mbabe

Sergio Aguero amefunga goli moja katika kila mechi dhidi ya Liverpool uwanja wa Etihad, na kufikisha magoli matanoManchester City imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake...

Arsenal yatwangwa na West Brom Albion

Arsenal ilishindwa kwa mabao 3-1Arsenal ilipata pigo la nne katika mechi tano za ligi baada ya mabao mawili ya Craig Dawson kuisaidia West Bromwhich...

VIDEO: TIZAMA RAHA YA KUA BABA

https://youtu.be/VdKADzZEw0M

VIDEO: Usikate tamaa muda bado upo.

https://youtu.be/JudlNj3beV8

STAY CONNECTED

0FansLike
0FollowersFollow
0FollowersFollow
1FollowersFollow
13FollowersFollow
0SubscribersSubscribe