nijuze dunia

nijuze dunia

Tamko La Chadema Kuhusu Uchaguzi Wa Marudio

Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Freeman Mbowe.

Mwanafunzi afariki baada ya kupigwa risasi Tanzania

Marehemu Akwilina Akwilini Makabiliano kati ya jeshi la polisi na wafuasi wa chama cha Chadema nchini Tanzania yalisababisha kifo cha mwanafunzi mmoja wa shule . Mwanafunzi...

Trump aiambia Pentagon iandae gwaride la jeshi Washington

Rais wa Marekani Donald Trump anaripotiwa kuwauliza maafisa wakuu wa jeshi kuandaa gwaride kubwa zaidi nchini humo kuonyesha nguvu zake za kijeshi. Afisa anayehusika na...

Mkutano wa kumjadili Zuma waahirishwa

Rais Jacob Zuma na shinikizo la kuachia maptionadaraka Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimeahirisha mkutano wa viongozi wa juu wa chama hicho ulio tarajiwa...

ANC chazidisha shinikizo dhidi ya Zuma

Rais Jacob Zuma atakiwa kujiuzuru Subira inawaishia viongozi wa chama tawala Afrika kusini ANC dhidi ya rais wa Jacob Zuma waliomtarajia kujiuzulu baada ya majadilianoa...

TMA Yatabiri Kutokea Hali Mbaya Ya Hewa

Mamlaka ya hali ya hewa. Mamlaka ya hali ya hewa nchini imewatahadharisha wananchi kuwepo kwa hali mbaya ya hewa katika maeneo yote ya pwani kuanzia leo...

Bungeni:Kilangi Aapishwa Kuwa Mwanasheria Mkuu Wa Serikali

Mmwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dkt. Adelardus Kilangi akila kiapo Bungeni leo. Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dkt. Adelardus Kilangi leo ameapishwa na kukabidhiwa vitendea...

Viongozi wengine waliowahi kuapishwa na kujitangaza kuwa marais kama Odinga barani...

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga Jumanne aliapishwa kuwa 'rais wa wananchi' nchini humo baada ya kusema hatambui ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta...

Matokeo Kidato Cha Nne Yatangazwa.

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde Jumla ya watahiniwa 385, 767 walisailiwa kufanya mtihani kidato cha nne mwaka 2017, kati yao 287,713 sawa na...

Odinga atarajiwa kuapishwa leo na upinzani Kenya

Hali ya wasiwasi imetanda nchini Kenya leo Jumanne, baada ya kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo Bwana Raila Odinga, kushikilia kuwa ataapishwa leo kama...

STAY CONNECTED

0FansLike
0FollowersFollow
689FollowersFollow
1FollowersFollow
13FollowersFollow
0SubscribersSubscribe