Chadema Yafunguka Madai Ya Mnyika Kujiuzulu

Chadema Yafunguka Madai Ya Mnyika Kujiuzulu

3
0
SHARE
Mbunge wa Kibamba kwa tiketi ya Chadema, John Mnyika.


Mitandao ya kijamii jana imeripoti kuwa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika amejivua uanachama,taarifa hiyo imekanushwa vikali na Chadema.

“Kuna taarifa zinasambazwa mitandaoni ya kuwa Mhe. John Mnyika, Mbunge wa Kibamba amejivua uanachama wa CHADEMA.

Taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote, ni za kupuuzwa, wanaozisambaza ni wale walioishiwa hoja na majibu juu ya hali ya maisha ya Watanzania.

Hivi karibuni upepo wa kisiasa umegeuka nchini Tanzania kufuatia Wanasiasa kujiuzulu nyadhifa zao na kuhama kutoka chama kimoja kwenda chama kingine akiwemo Mbunge wa CCM Lazaro Nyalandu kuhamia Chadema na Mbunge wa CUF Kinondoni
kuhamia CCM.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY