FAIDA (4) ZA KUTUMIA CHAI YA TANGAWIZI

  42
  0
  SHARE

  tangawizi

  Na Zuhura Simba

  Faida  za kutumia Tangawizi:

  • Husaidia kupunguza kama si kuondoa kichefuchefu ni nzuri haswa kwa wale wanawake wenye mimba changa ambao husumbuliwa na kutapika.

  • Husaidia wale wenye matatizo ya gauti yaani sehemu ya viungo kuuma na kusikia maumivu makali kupata ahueni, pia husaidia kusambaza damu kwenye mwili kwa haraka zaidi.

  • Husaida msago wa chakula kwa haraka zaidi kwa kuchanganya na tindikali tumboni.

  • Wataalamu wamegundua tangawizi ni dawa tosha ya presha kuliko kitunguu swaumu.

  NO COMMENTS

  LEAVE A REPLY