Manchester united na Jose Mourinho wa hitimisha makubaliano

Manchester united na Jose Mourinho wa hitimisha makubaliano

25
0
SHARE

I Six_89809131_mourinhoclose-upbody_gettyABDALLAH MZUI

Mazungumzo kati ya wakala wa Mourinho Jorge Mendes na viongozi waandamizi wa Manchester united wamehitimisha makubaliano , ingawa hakuna mkataba ulio sainiwa . tangazo rasmi kutoka klabuni hapo linatarajiwa hivi punde. Mreno huyo ataziba nafasi iliyo achwa wazi na Mholanzi Louis van Gaal , ambaye alitimuliwa siku ya Jumatatu, siku mbili baada ya United kushinda Kombe la FA.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY