Picha:Samaki Wa Ajabu Aliyepatikana Kilwa Awa Kivutio

Picha:Samaki Wa Ajabu Aliyepatikana Kilwa Awa Kivutio

270
0
SHARE

ce25c6ede2feb39faef9fd55438ea6c0V 2

Samaki wa ajabu amepatikana pwani ya Kilwa Masoko mkoani Lindi ambapo mamia ya wananchi wamemiminika kumuona na kupiga picha juu ya samaki huyo.

Kwa mujibu wa baadhi ya mashuhuda wamesema kuwa samaki huyo ni aina ya Nyangumi ameonekana akiwa amekufa na haijulikani nini hasa chanzo cha kifo cha samaki huyo.

Inadaiwa kuwa baadhi ya watu wameanza kupitaia kitoweo cha bure kutokana na ujio wa Samaki huyo bila kutegemewa na wananchi.

Kwa matukio zaidi katika Picha tazama hapa…

8b417ffe76a5af57456e2f7d1a3e335eimg-20161014-wa0021img-20161014-wa0024

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY