Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 27.01.2018

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 27.01.2018

1
0
SHARE
Mauriccio Pochettino na Zinedine ZidaneMauriccio Pochettino na Zinedine Zidane

Real Madrid inamtaka Mauricio Pochettino kuwa mkufunzi wake mpya na tayari imewasiliana na mkufunzi huyo wa Tottenham. (Mail)

Spurs pia inakaribia kukamilisha uhamisho wa dau la £21.9m kusajili winga wa Paris St-Germain na Brazil 25, Lucas Moura. (RMC Sport – in French)

Manchester City imekubali dau la rekodi ya £57m kumsajili beki wa kati wa Athletic Bilbao’s ,23, Aymeric Laporte. (Guardian)

Manchester City imekubali dau la rekodi ya £57m kumsajili beki wa kati wa Athletic Bilbao's ,23, Aymeric Laporte. (Guardian)Manchester City imekubali dau la rekodi ya £57m kumsajili beki wa kati wa Athletic Bilbao’s ,23, Aymeric Laporte. (Guardian)

Real Madrid inapanga kumnunua mshambuliaji wa Cheslea na Ubelgiji Eden Hazard,27, mshambuliaji wa Tottenham na Uingereza Harry Kane na kipa wa Manchester United na Uhispania , 27, David de Gea this summer. (Mail)

Mathieu DebuchyMathieu Debuchy

Arsenal imebadilishana kwa dau la £10m pamoja na beki wake wa kulia mwenye umri wa miaka 32 Mathieu Debuchy kwa beki wa kati wa West Brom na Northern Ireland Jonny Evans. (Star)

The Gunners italazimika kutoa dau la £25m iwapo inataka kumnunua Evans kutoka West Brom(Sun)

Mkufunzi wa West Brom Alan Pardew anasema kuwa klabu inayomtaka Evans itapata majibu mazuri iwapo itawasiliana na timu hiyo wikendi badala ya kuanzisha mazungumzo mwisho wa dirisha la uhamisho siku ya Jumatano.. (Telegraph)

Mshambuliaji wa Feynoord na Denmark Nicolai JorgensenMshambuliaji wa Feynoord na Denmark Nicolai Jorgensen

Ombi la Newcastle la kutaka kumsajili mshambuliaji wa Feynoord na Denmark Nicolai Jorgensen kwa dau la £15m limekataliwa (Sky Sports)

Klabu hiyo ya uholanzi imeambia Newcastle kwamba watalazimika kulipa dau la 25m euros (£21.9m) kumsajili raia huyo wa Dane. (Northern Echo)

M

Mkufunzi wa Newcastle Rafa Benitez anasema kuwa Aleksandar Mitrovic hatauzwa kwa ligi ya Uingereza

kufunzi wa Newcastle Rafa Benitez anasema kuwa Aleksandar Mitrovic hatauzwa kwa ligi ya Uingereza

Mkufunzi wa Newcastle Rafa Benitez anasema kuwa Aleksandar Mitrovic hatauzwa kwa ligi ya Uingereza. Brighton inadaiwa ilikuwa tayari imewasilisha ombi lake kumnunua mchezaji huyo wa Serbia. (Telegraph)

Mkufunzi wa West Ham David Moyes atajaribu kumsajili mshambuliaji wa Watford Troy Deeney, 29, iwapo atashindwa kumtia mkobani mahsmabuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge, 28. (Sun)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY